Skip to content

Jay Melody - 18 (Official Music Video)

TBV
Popularity ยท Low

Listen

YouTube

0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced

Lyrics

Mr LG Nilipanga nitapenda nikifika miaka 20 Hivi sasa 18 sijui nimepatwa nini Kuna mtu nampenda lakini sijiamini Sio kama najua sana kwamba mapenzi ni nini Ananitoa kwenye malengo Sikupanga kuingia kwenye maupendo Ananitoa kwenye malengo Vitu vyake navutiwa kila engo Oh mimi Tafadhali moyo wangu Haya mapenzi dhahabu Tafadhali kweli moyo wangu Haya mapenzi yangu dhahabu Bado najiuliza kama ana hisi Nnavyo hisi Ila najua kua hivyo sio rahisi Nami mugeni wa mapenzi nisije nikaitiwa police Nikaumbuka nikachukia mapenzi Penzi oh, penzi oh, usiniumbue mwenzio Nikaanza na kilio, eti ndo kiinglio Ananitoa kwenye malengo Sikupanga kuingia kwenye maupendo Ananitoa kwenye malengo Vitu vyake navutiwa kila engo Oh mimi Tafadhali (we tafa) moyo wangu (we moyo) Haya mapenzi dhahabu (tafa we) Tafadhali kweli moyo wangu (oh moyo) Haya mapenzi yangu (oh moyo) Oh, lo, lo, mmh dhahabu Oh, oh, mmh dhahabu Once again