Skip to content

Furahiday

Nameless
Popularity ยท Low

Listen

YouTube

0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced

Lyrics

Nonini Another Homeboyz producshizzle Leo niko na nani jamaa... Leo niko na nani jamaa... Niko na... Ni Furahiday (Nonini) Cheka na mi ka unajua una-feel poa Cheka na mi ka wee ni bachelor na hujaoa Cheka na mi ka umekunywa na unakojoa Usicheke na mi sabu ni end month pesa ntatoa Jamaa leo network blunder Jam saa kumi na moja ndio ilianza Kweli leo ndio kila mtu hupiga simu Ni Friday siku lazima tuheshimu Shika mtoto wako mweke karibu nawe Beste yako mnunulie beer pia naye Mtu akileta noma hapa pigana naye Manzi akileta maringo jo achana naye Kuta mwengine mwambie nipe nawe C___ kibao jo usinikazie wee Safi twende ndani ya ndai manze Bora usiwe mtaro I say Nameless jo niliskia ana yake Mo alinikazia itabidi nimetumia tu ma-satchet Kenya officially iliwafanya drinking nation Na kila Friday jo huwaga ni vacation Kuchoma nyama ndio kitu ya kwanza Ushibe vipoa kiugali ndio usiwake haraka Kuchoma maini ndio kitu ya pili Na hii Furahiday tunaianzisha na maPili (CHORUS) (Nameless) It is OK (OK) Ni Furahiday It is OK (OK) Kufurahi day It's OK (OK) Ni Furahiday It is OK (OK) Kufurahi day (Nameless) Ni kama saa kumi ya jioni Kuna kitu inasumbua rohoni Niko job niko ndani ya ofisi And I'm feeling kind of uneasy Ninaanza ku-perspirate Veins zangu zina-vasodilate I seem to be allergic to something Or something is allergic to me Najaribu ku-communicate na my friends Lakini hata maSMS haziendi Naangalia... nje ya dirisha Magari ndizo hizo Bumper to bumper Hata mdosi hajiskii na kazi Madame wote ofisi wamevaa minisketi Kwani Nonini ni nini today (O-K) (CHORUS) (Nameless) It is OK (OK) Ni Furahiday It is OK (OK) Kufurahi day It's OK (OK) Ni Furahiday It is OK (OK) Kufurahi day Friday (OK) It's Friday (OK) Ni Friday (OK) It's Friday (OK) Niambie leo inaanza kutubamba saa ngapi Na mamanzi unawaleta ka wangapi Ukikam na wale ma-twins mambo safi Nyundo leo inashikana na makabati Friday kabla nitoke lazima nimevaa jo Huwezi jua naeza angukia manzi virgo Na hawa mamanzi hawapatikani kwa bar jo Tumbo inakuleta chukua gazeti jo Jibanze na ujisunde nayo kwa choo Na ikikataa kuenda maji tu kwa ndoo Cruising kwa gari napitia Koinange Kula na macho tu mzee unaonaje Usione vile watoto huwanga wamejirembesha Na kwa klub wanaume ndio hao wanachekesha Friday vitu hufanyika jo huwanga Zinanishangaza Wasichana kwanza vile huwaga wanazisambaza Lakini hakuna shida ni Friday tena Sahau shida zako zote na uanze kucheka Leo ikikurarukia ikubali hakuna haja ya kuteta Bora tu mfukoni msee kumejaa na mapesa (CHORUS) (Nameless) It is OK (OK) Ni Furahiday It is OK (OK) Kufurahi day It's OK (OK) Ni Furahiday It is OK (OK) Kufurahi day It is OK (OK) Ni Furahiday It is OK (OK) Kufurahi day It's OK (OK) Ni Furahiday It is OK (OK) Kufurahi day (Nonini) Ka ni Friday na unajua umeoa Pete jo lazima utatoa Ka ni Friday na unajua umeoa Pete jo lazima utatoa Ka ni Friday na unajua umeoa Pete jo lazima utatoa Nonini, na Nameless Ni Fura-hi-day