Skip to content

Unafikiria Nini

Upendo Hai Choir
Popularity ยท Low

Listen

YouTube

0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced

Lyrics

Unafikiria nini Ulimwengu ni wa shida Sema unafikiria nini Jihadhari usiibe Unafikiria nini Ulimwengu ni wa shida Sema unafikiria nini Jihadhari usiibe Ndugu uliyebatizwa Matendo unashiriki Unawadanganya watu Umemsahau Yesu Ndugu uliyebatizwa Matendo unashiriki Unawadanganya watu Umemsahau Yesu Mlango wa Mbinguni Huwezi kufunguliwa Matendo yako Yatakuzuia njiani Umeacha msalaba Umemezwa na dunia Wewe utaungia jehanamu Umeacha msalaba Umemezwa na dunia Wewe utaungia jehanamu Kanisani umeacha Ulikuwa unategemewa Unajidanganya wewe Na Mambo ya Ulimwengu Kanisani umeacha Ulikuwa unategemewa Unajidanganya wewe Na Mambo ya Ulimwengu Ndugu uliyebatizwa Matendo unashiriki Unawadanganya watu Umemsahau Yesu Ndugu uliyebatizwa Matendo unashiriki Unawadanganya watu Umemsahau Yesu Mlango wa Mbinguni Huwezi kufunguliwa Matendo yako Yatakuzuia njiani Umeacha msalaba Umemezwa na dunia Wewe utaungia jehanamu Umeacha msalaba Umemezwa na dunia Wewe utaungia jehanamu Ole wako we mwenzangu Unayesema umebatizwa Unajidanganya wewe Na mambo ya ulimwengu Ole wako we mwenzangu Unayesema umebatizwa Unajidanganya wewe Na mambo ya ulimwengu Ndugu uliyebatizwa Matendo unashiriki Unawadanganya watu Umemsahau Yesu Ndugu uliyebatizwa Matendo unashiriki Unawadanganya watu Umemsahau Yesu Mlango wa Mbinguni Huwezi kufunguliwa Matendo yako Yatakuzuia njiani Umeacha msalaba Umemezwa na dunia Wewe utaungia jehanamu Umeacha msalaba Umemezwa na dunia Wewe utaungia jehanamu