Shuka Usitumane
Moji Shortbabaa
Popularity ยท Low
Listen
YouTube
0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced
Lyrics
Moji short babaaa
nalia uui nalia uui ui ui
baba shuka usitumane
shuka usitumane
nyumba walifunga na stima wakakata
mtoto wakafukuza shule na pia wakamchapa
nashindwa nitafanya nini
mawazo kwa akili
nashindwa nitafanya nini
baba mbona mimi
shuka usitumane eee,
ohh baba shuka usitumane
nalia uui nalia uui ui ui
baba shuka usitumane shuka usitumane
baba shuka usitumane shuka usitumane
hizi manoma utatake away
tunanifunga kama taker way
utashuka utamake away ni wewe natambua eee yahwe
juu kila siku ni vitimbi shida zanitafuna ka bigy G
so kwako nalia ka kimkidi najua unaniona ka kipindi
umesema kwa kitabu (tabu tabu)
niombe utanisikia ondoa hizi (tabu tabu tabu) najua
utanisikia
nalia uui nalia uui ui ui
baba shuka usitumane shuka usitumane
baba shuka usitumane shuka usitumane
baba baba aaah baba baba shuka usitumane
nalia uui nalia uui ui ui
baba shuka usitumane shuka usitumane
baba shuka usitumane shuka usitumane
end