Kisha Nikaona
Redemption Ministers
Popularity ยท Low
Listen
YouTube
0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced
Lyrics
Kisha nikaona mji mtakatifu yerusalemi ukishuka kutoka mbinguni
Ukiwa umeandaliwa kama bibi harusi aliyepambwa kwa bawana wake
Nikasikia sauti kubwa kutoka katika kile kiti cha enzi ikisema
Tazama maskani ya munugu i pamoja na wanadamu(ร2)
Refain
Atafuta machozi yao yote, na kifo hakitakuwepo tena
Maana mmbo hayo yote ya awali yamekwisha toweka
Mji ule utashuka kwa maandhari makuu yesu akiwa ni kiongozi
Tarumbeta zikipulizwa kwa ustadi mkuu
Kisha nikaona kiti cha enzi kikubwa cheupe na yeye aketiye juu yake
Ambaye nchi na mbingu zinakimbia uso wake, mahali pao hapakuonekana
Nikaona wafu wakubwa wadogo mbele yake vitabu vyote vikafunguliwa
Tazama wakahukumiwa sawasawa na matendo yao