Skip to content

Mtoto wa Kigogo

Roma Mkatoliki
Popularity ยท Low

Listen

YouTube

0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced

Lyrics

Heiyaaah!! Two one two!! Woooh!! Mguu kwa mguu!! Heiyaaa!! Two one two!! Senseeee!! Woooh!! 1. Yo' the one and only Mamy, And I'm the one man army, Wewe sio Mnyama, Ila unyamani maninja wanakuita Mwamy. Wewe Ni soldier I told you, Na siyo uwongo, Nakumbuka zile hussle za mbeya mpaka nyamongo, Nilitupa harakati, nikazama mburahati, Kukupata sio zali boo na sio bahati. Wa obey niliwapa nyodo, Wa masaki sikuwapa shobo, Nikapiga ndefu Shaa kwa nancy mtoto wa kigogo, Leo grand maam na Mamy, Ndugu na majirani, Wanakuita mama ivan, Nakuita wangu wa ubani, (Lakini babyyy)!! Do you see what i see, I see da'honey moon lover lover In a beautiful sea, (Hahahahahah)!! Wuuuh!! Kweli nimepagawa, Babe unapiga kasia kama upo juu ya ngalawa. Mwenye Asili ya kihehe, Wachinjie baharini, Mimi Kabla sijabalehe, Niliota utakuwa na mimi, Wewe sio mcharuko, Sio mchefuko, Sio. Mchepuko, Sio mlupo, Sio mdundiko wewe ni ndembendembe kangamoko. That's why sikwenda king'oko wala boko, Sikwenda moroko wala coco, Nikakunja kushoto Tongwe naijaza vocal. Kwako nimekuwa teja(teja)!! Kama Kilevi kikali wewe Pombe umenilevya, Tunaishi kisoldier (soldier)!! Tukikumbana na hali ya umande Tunajiliwaza. Sasa Twende mguu kwa mguu, (Tufunge pingu babe kanisani)!! Two one two (Tuwaridhishe wazazi. Nyumbani)!! Mguu kwa Mguu (Tule kiapo ikibidi yamini)!! Two one two (Mimi ni wako milele niamini.)!! Yo' da' mom of my son, And am proud of you, And am like (aanhss!! Annhss)!! Let's Gigy my boo. Nikikuhitaji (Yoh Yoh!) Nafurahi huna maringo, Kidume najidai nachapa kama mandingo, (Hahahahahahha!!) Yoh ninja natambaa na lami, Ila Kwake beki hazikabi chezea aanzishe tsunami. Na ana wivu, Kama demu wa kidigo, Nimpake majivu, Kantangaze Nikuone mzigo, Na hussle nayeye anafight, Nani atatupiga tobo, Watoto hawachezi mbali, unga ni robo, Kumwaga ndani sio mchezo, Muulize Hugo, Pampas zimepanda bei, na madogo Wanakata gogo. Kwako nimekuwa teja(teja)!! Kama Kilevi kikali wewe Pombe umenilevya, Tunaishi kisoldier (soldier)!! Tukikumbana na hali ya umande Tunajiliwaza. Sasa Twende mguu kwa mguu, (Tufunge pingu babe kanisani)!! Two one two (Tuwaridhishe wazazi. Nyumbani)!! Mguu kwa Mguu (Tule kiapo ikibidi yamini)!! Two one two (Mimi ni wako milele niamini.)!! I gt ma' men men Geof Master Oiii Sasa Twende mguu kwa mguu Heiyaaa!! Two one two Wooh!! Sasa twende Mguu kwa mguu Heiyaaa!! Two one two Whoooh!! Mimi ni wako milele niamini Mimi ni wako milele niamini.